Wanadai .. Tunasahihisha

9

  • | Tuesday, 14 June, 2016

Kwa hakika kuwepo kwa balozi za wasio waislamu nchini mwa waislamu au mashirika ya kutega uchumi au bodi zo zote nyingine miongoni mwa mashirika yasiyosababisha madhara kwa Uislamu au waislamu wenyewe, hayo yote hayazingatiwi ukafiri au ufisadi kwa kuwafanya makafiri urafiki, bali zaidi ya hapo Mtume (S.A.W.) alikuwa anatuma wajumbe na balozi kwa mataifa na kupokea wjumbe na balozi wasio waislamu, je, kazi hiyo ya Mtume (S.A.W.) ni ukafiri?! Ewe Mwenyezi Mungu Umetakasika! Huu ni uzushi mkubwa!.

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.