Wanadai .. Tunasahihisha

10

  • | Wednesday, 15 June, 2016

Maneno haya hayana ukweli wo wote kwani Mtume (S.A.W.) alikuwa anampenda ami yake Abu Talib japokuwa hakujiunga na Uislamu, bali Qurani Tukufu ilithibitisha udharura wa kuwapenda watu wote hata wakiwa wasio waislamu ambapo Mwenyezi Mungu Amesema: {Kwa hakika wewe humwongoi umpendaye, lakini Mwenyezi Mungu humwongoa amtakaye. Na Yeye ndiye anawajua zaidi waongokao}
Vipi hawa wadai kuwa kupendana na wasio waislamu kumeharamishwa ilhali Uislamu ulimpa mwislamu wa kiume ruhusa ya kumwoa wanawake wa kitabu na kuishi pamoja kwa mapenzi na rehema kama yanavyotakiwa baina ya mume na mkewe!
 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.