Dhana ya Jihad 7

  • | Wednesday, 27 July, 2016

Jihad ya binafsi - mapigano - ni faradhi isiyopitishwa juu ya kila mwislamu kwani majeshi ya nchi yanawawakilisha waislamu kutekeleza faradhi hiyo ambapo waliobaki hawalazimishwi kwa faradhi hiyo wala hawatalaumiwa kwa sababu ya kutoifanya mbele ya Mwenyezi Mungu (S.W.) katika siku ya Kiyama.

Print
Categories: Dhana ya Jihad
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.