Dhana ya Jihad 8

  • | Sunday, 31 July, 2016

Maadui wakiishambulia nchi moja ya kiislamu ghafula wakaiingia na majeshi ya nchi hiyo wakahitaji msaada kutoka kwa wananchi wa kawaida, basi papo hapo kila mwislamu hutakiwa kufanya jihad ya kupambana na maadui hao akitumia kila anacho nacho kati ya nafsi au mali au cho chote kingine, ambapo jambo hilo bila shaka ni jambo la kubalika kiakili.

Print
Categories: Dhana ya Jihad
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.