Kwa vijana wa Ummah

Maadili yapinga Vurugu

  • 29 November 2017
Maadili yapinga Vurugu

     1- Hakika sehemu kubwa ya vurugu tunazoziona katika sehemu kadhaa ulimwenguni zinasababishwa na ukosefu au udhaifu wa hisia za kibinadamu na kuvurugika kwa mpangilio wa maadili ya kibinadamu.
2- Bila shaka, jmaii ya leo inahitaji sana iwe na uzingatio mkubwa kwa mfumo wa maadili ya kibinadamu na kuwepo tamaduni na staarabu mbali mbali na kutilia mkazo mambo ya pamoja yaliyopo baina ya wanadamu wote, siyo vitenda kazi vya kutofautiana na kupingana.
3- Kwa hakika, Mwenyezi Mungu Mtukufu Amemtukuza mwanadamu bila ya kujali dini, rangi, nchi yake, kwa hiyo Mwenyezi Mungu Akasema: "na hakika tumewatukuza wanadamu".


Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na Mawazo Makali
Kitengo cha Lugha za Kiafrika

 

Print
Tags:

Please login or register to post comments.