Kwa vijana wa Ummah

Uislamu na Vijana

  • 10 December 2017
Uislamu na Vijana

     •    Uislamu umeshughulukia kabisa mbeya ya ujana; ukaielekezea kujenga na heri, na ukaiepushia kuporomoka na ovyo. Basi lengo la uislamu ni kuifanya mbeya hiyo iwe ya heri kwa upande wa mtu mmoja na jamii nzima.
•    Vijana ndio uti wa mgongo wa nchi. Vijana wanaozijenga nchi zao, kuzitetea na kuzilinda. Kweli, wao ni utajiri wa kibinadamu, wanaosukuma guduru la maisha daima kwa mbele; kwani wana nguvu na bidii.
•    Vijana ni lingo la jamii na tegemeo lake la kimsingi; wangekuwa na nguvu na bidii, nchi zingi zisiwe na maendeleo au ustaarabu, kwani kujenga kwa jamii kunaihitajika mikono yenye nguvu na yenye ujana.
•    Uislamu unawashughulukia vijana kwani wao ndiyo viongozi wa kesho, tamaa la umbele na wajengao wa ustaarabu.

Kituo cha Al-azhar cha Kupambana na Fikira kali
Kitengo cha Lugha za Kiafrika

 

Print
Tags:

Please login or register to post comments.