العربية
English
Français
Deutsch
Español
اردو
Swahili
فارسی
中文
Türkçe
Italiano
עברית
Ελληνικά
Al Azhar Observatory
Jumbe za kufahamisha
Ichunguzeni
Kwa vijana wa Ummah
Maadili ya Kibinadamu
Wanadai..Tunasahihisha
Dhana ya Jihad
sikio lisikialo
Jua kituo cha Uangalizi cha Al-Azhar
msiwalaani maswahaba wangu
Mtume wa ubinadamu
Waokoe
Kwa vijana wa Ummah
Maadili ya kibinadamu
27 Nov 2017
1- Sheria zote za mbinguni zimekusanya kiasi kikubwa cha maadili na misingi ya kibinadamu. Na muhimu kati ya misingi hiyo ni; kuhifadhi roho ya kibinadamu, mali yake, heshima yake na uhuru wake. 2- Mtume wetu S.A.W....
Uadilifu kati ya mwanamume na mwanamke
22 Nov 2017
1- Dini yetu inakataza kuwadhulumu au kuwapunguza haki za wanawake, bali imewahimiza waumini wawe na uadilifu na kutotenganisha baina ya msichana na mvulana, ikizingatia kwamba kufanya hiyo ni njia kubwa ya kupata ridha...
Maadili ya Kibinadamu Kupambana na Fikira Kali
20 Nov 2017
1- Sheria zote za mbinguni zimeafikiana kuhusu maadili ya kibinadamu, na kwamba yeyote atakayevunja maadili hayo basi atakuwa hajakwenda mbali na muktadha ya dini tu, bali amekwenda mbali na ubinadamu wake na maumbile...
Kufanya upya katika Dini ya Uislamu
20 Nov 2017
- Sio maana ya kufanya upya au luleta mageuzi mapya katika dini kuziporomosha nguzo za dini hiyo au kupuuza misingi yake, bali inamanisha kujaribu kuboresha ufahamu wa matini za dini na kutekeleza mafunzo yake kwa mujibu wa...
Kujitahidi katika Uislamu
16 Nov 2017
1- Kwa hakika Mwenyezi Mungu hakutunukia elimu na fiqhi watu fulani na kuwaacha wengine, au kwa muda fulani hasa. Na kwamba heri na baraka ziko katika umma wa Mtume Muhammad (S.A.W.) hadi siku ya kiyama. 2- Bila shaka utengenezaji upya katika...
1
2
3
4