Uislamu hauruhusu kuwaua watu wasio na hatia
     Bila shaka dini ya kiislamu ni ya uadilifu na uwastani, amani na usuluhi, upendo na ucha Mungu. Na Uislamu umeipa nafsi ya kibinadamu cheo cha juu. Na kwa kuzingatia kwamba kumuua mwanadamu ni uhalifu mkubwa usioridhika...
Monday, 18 December, 2017
Ukweli wa Uislamu
     1- Kwa hakika hali ya makundi yanayojinasibisha na Uislamu kwa njia ya dhuluma, inaonyesha uhalisi mchungu, ambapo tunauona mauaji na umwagaji damu ambao unafanywa eti! kwa jina la Uislamu na chini ya bendera ya Quraani,...
Saturday, 16 December, 2017
Hotuba ya Imamu Mkuu kwenye Msikiti wa Al-Rawda
     Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, swala na amani zimfikie bwana wetu Mtume Mohammad (S.A.W.), familia yake na maswahaba wake. Hakika matakwa ya Mwenyezi...
Tuesday, 12 December, 2017
Uislmu ni dini ya Rehema
     1.    Kwa kweli huruma ya Uislamu imewazingatia wagonjwa na wajeruhiwa; ambapo Uislamu umewahimiza wafuasi wake watembelee wagonjwa, na ukawafanyia malaika waombe maghfira kwa anayemtembelea mgonjwa, pia...
Tuesday, 12 December, 2017
Uislamu na Vijana
     •    Uislamu umeshughulukia kabisa mbeya ya ujana; ukaielekezea kujenga na heri, na ukaiepushia kuporomoka na ovyo. Basi lengo la uislamu ni kuifanya mbeya hiyo iwe ya heri kwa upande wa mtu mmoja na...
Sunday, 10 December, 2017
First2345791011Last