Tuhuma ya kutoomba dua ya Mwenyezi Mungu kwa wasio waislamu

  • | Tuesday, 5 September, 2017
Tuhuma ya kutoomba dua ya Mwenyezi Mungu kwa wasio waislamu

 Kuijibu tuhuma:
Katika kitabu cha Ibn Abi Shaybah kuna sura inayozungumzia kuhusu mayahudi na wakristo na ametajwa hadithi na athari kadhaa iliyozungumzia kuhusu suala la kumwomba dua ya Mwenyezi Mungu kwa mkristo na myahudi: miongoni mwake ni hadithi iliyopokelewa kutoka kwa Abu Qatadah: kwamba myahudi alimkama ngamia na akampa Mtume (S.A.W) maziwa yake, hivyo Mtume akasema "Ewe Mwenyezi Mungu mpe umbo mzuri, basi nywele ya myahudi huyo imekuwa nyeusi".
Na imepokelewa kutoka kwa Ibrahim akasema: myahudi mmoja akamjia kwa Mtume (S.A.W) akamwambia: "niombe Mwenyezi Mungu dua", Mtume akasema: "Mwenyezi Mungu azidishe mali yako na watoto wako na akupe afya mwili wako na airifusha umri wako".
 

Print
Tags:
Rate this article:
5.0

Please login or register to post comments.