Daesh: Kumpenda asiye mwislamu ni ukafiri

  • | Friday, 22 September, 2017
Daesh: Kumpenda asiye mwislamu ni ukafiri

     Maneno haya ni makosa kwani Mtume (S.A.W) alikuwa anampenda ami yake Abu Talib ingawa alikuwa hafuati Uislamu, bali Qurani Tukufu ilithibitisha kuwepo upendo wa kimoyo kwa wasio waislamu, ambapo Mwenyezi Mungu Amesema: {Kwa hakika wewe humwongoi umpendaye, lakini Mwenyezi Mungu humwongoa amtakaye. Na Yeye ndiye anawajua zaidi waongokao(.
Basi vipi hao wanadai kuwa kumpenda asiye mwislamu kumeharamishwa ilhali Mwenyezi Mungu Alimpa mwislamu ruhusa ya kumwoa wanawake mkristo na kuishi naye kwa mapenzi na huruma kama yanayotakiwa baina ya mume mwislamu na mke wake mwislamu!


Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na mawazo makali
Kitengo cha lugha za Kiafrika

 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.