Wakati wa mkutano wa Imamu Mkuu wa Al-Azhar na balozi wa New Zealand mjini Cairo: Imamu Mkuu wa Al-Azhar anasifu kwa msimamo wa waziri mkuu wa New Zealand kuhusu shambulio la Christchurch

  • | Thursday, 21 March, 2019
Wakati wa mkutano wa Imamu Mkuu wa Al-Azhar na balozi wa New Zealand mjini Cairo: Imamu Mkuu wa Al-Azhar anasifu kwa msimamo wa waziri mkuu wa New Zealand kuhusu shambulio la Christchurch

     Mwanzoni mwa mkutano huo, balozi huyo amefikisha rambirambi ya serikali ya New Zealand chini ya uongozi wa “Jasinda Arden” kwa Imamu Mkuu kuhusu wahanga waliokufa katika shambulizi la kigaidi lilolengea misikiti miwili mjini “Christchurch”, na akisisitiza kuwa nchi yake inzingatia shambulizi hilo kama ni ugaidi, na imempelekea mfanyaji wa shambulizi hilo kwa mahkama.
    Balozi wa New Zealand amejitokezea heshima na tukuza nchi yake kwa hisia za Waislamu duniani kwa sababu ya shambulizi hilo ya kutisha, na ameonyesha kuwa serikali ya New Zealand imechukua hatua kadha zinazolenga kuwalinda Waislamu na kuihifdhi misikiti.
Kwa upande wake, Fadhila wa Imam Mkuu alionyesha masikitiko yake makubwa kwa mauaji hayo ya kutisha ambayo yamezitikisa hisia na mioyo ya watu wenye hisia na dhamiri safi katika dunia, na akitokeza msimamo wa Waziri Mkuu wa New Zealand na serikali yake katika shambulizi hilo la kigaidi, hatua zake ya haraka ili kupunguza maumivu ya wahanga na familia zao, na kuchukua mfululizo wa hatua za kuzuia kama matukio hilo.
Fadhila wa Imam Mkuu amebainisha tayari ya Al-Azhar kutoa msaada wa Waislamu huko New Zealand kupitia kwa kupewa wanafunzi wa New Zealand nafasi ya kujifunza katika Al-Azhar bila malipo yoyote ,na kuwafundisha imamu wa Waislamu huko New Zealand kukabiliana na mawazo kali ya kigaidi na kueneza utamaduni wa amani na kuishi pamoja.

 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.