Al-Azhar Al-Sharif inalaani taarifa ya utawala wa Marekani siku ya Alhamisi jioni kuhusu kuusaidia utawala wa kiyahudi unaodaiwa dhidi ya eneo la Golan la Syria linalokaliwa.
Al-Azhar Al-Sharif inasisitiza kwamba taarifa hiyo inazingatiwa ni ya kwanza ambayo ulimwengu haujaishuhudia hapo kabla, katika sheria ya mamlaka ya upokaji na ukoloni, pamoja na kupuuza hisia za Waarabu na Waislamu, na maazimio yote ya uhalali wa kimataifa, ambao mara nyingi ulithibitisha kwamba Golan ni eneo la Syria linalokaliwa, na kwamba hatua zote za Kiyahudi dhidi yake ni batili na sio uhalali.