Makaribisho makubwa kwa Imamu Mkuu kwenye Chuo Kikuu cha Monester …. Imamu Mkuu wa atatoa hotuba baada ya muda fupi kuhusu "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti"

  • | Thursday, 17 March, 2016
Makaribisho makubwa kwa Imamu Mkuu kwenye Chuo Kikuu cha Monester …. Imamu Mkuu wa atatoa hotuba baada ya muda fupi kuhusu "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti"

Makaribisho makubwa kwa Imamu Mkuu kwenye Chuo Kikuu cha Monester

Imamu Mkuu wa atatoa hotuba baada ya muda fupi kuhusu "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti"

Akiambatanishwa na makaribisho makubwa … Imamu Mkuu Imamu Mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif Profesa; Ahmad Al-Tayyib, mkuu wa baraza la wakuu wa waislamu, amefika kwenye Chuo Kikuu cha Monester ili kushiriki katika kongamano la "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti".

Mheshimiwa Imamu Mkuu alipo;elewa na waziri wa Masomo ya juu, Mkuu wa Chuo Kikuu na Mkuu wa mji wa Monester.

Print
Categories: Habari
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.