Anuani: Imamu na Tetemko wa kisiasa

Gazeti la Nazione (Al-Umma Firenza)

  • | Monday, 15 June, 2015

Kwa hakika kuna mapambano kati ya staarabu

Mheshimiwa Imamu Ahmed Al-Tayyib katika Firenza (hatima ya mvutano kati ya Magharibi na Uislamu).

Imamumkuu Ahmed Al-Tayyib ni mmoja wa wahusika maarufu sana katika uislamu wa sunna, ni Imamu mkuu wa Al-Azhar Al-Sharif mjini Kairo, ambayo ni miongoni mwa taasisi za kitamaduni katika ulimwengu, ina wanafunzi waliokuja kutoka mahali po pote duniani.

Mheshimiwa Imamu: je, khalifa bado yuko mlangoni wa Uturuki, akiiita kwa ajili ya ushindi wa uislamu?

kuna tofauti kubwa kati ya dini na walioichukua kama bidhaa katika soko, soko la siasa, kama yaliyotukia hapo zamani kwa wakristo au mayahudi, kwamba damu nyingi imemwagika hadi ikawa mito ya damu. Sitaki kukumbuka matukio hayo yote. Lakini sisi sote waislamu hatutashutumu dini yo yote kutokana na tabia ya baadhi ya wafuasi wake.

Nchini Uturuki na Misri, jukumu la Uislamuwa kiwastani ni hilo jukumu linalotenganisha baina ya siasa na dini. Je, jambo hili litafaulu?

Dini na siasa zinaelekea viwango viwili vitofauti, zina njia na mbinu tofauti. Dini ni ngome ya maadili mema ya juu, siasa inapokosa njia dini inakuja kuwaita wanasiasa ili kupanga upya misimamo yake.

Tangu siku chache nchini Saudia, mwandishi mmoja alihukumiwa adhabu ya kupigwa mijeledi kwa tuhuma ya ukengeufu kutoka Uislamu, Je, hii inawezekana vipi? Uislamu ukiwa kama unavyosema ni dini ya amani, sio vurugu?

Jambo hili halihusiani kwa vurugu, lakini linahusiana na hukumu iliyotolewa na mahakama. Nikiwa nchini fulani ni lazima kuheshimu sheria za nchi hiyo, kuna nchini Italia watu wingi wanaozizingatia baadhi ya adhabu ni vurugu.

Lakini katika baadhi ya nchi za kiislamu sheria zinatumiwa kwa kukandamiza uhalifu, basi hapo ndipo vurugu hutumiwa?

Pia, matini takatifu mengine za dini kubwa, jambo ambalo ni sawa kwa matini mpya zaidi, unayongea kuhusu vurugu wakati ambapo katika historia ya Uislamu haikutokea kwamba mtu ye yote amesulubiwa kamwe, katika hali yo yote kutumia sheria haizingatiwi vurugu bali kwa kukandamiza uhalifu.

 

 

Print
Categories: Habari
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.