Uislamu na Wafuasi wa Dini Nyinginezo

Swali la tisa: msimamo wa Uislamu ni nini kuhusu wafuasi wa dini nyingine?

  • | Friday, 28 August, 2015

Bila shaka Uislamu unazingatia dini za mbinguni dini zisizotufautiana sana kama Uyahudi na Ukristo, na kuna dini nyingine kinyuma kama dini nyingi zilizipo misitu na chaka, inapaswa ubinadamu hasa wenye dini za mbinguni unashirikiana kwa ajili ya kuuokoa ubinadamu kutoka kwa kuabudu kwa sanamu , moto, shetani, ukanaji Mungu, baadhi ya wanyama, na kutoka kwa kuabudu kwa baadhi ya watu kwa viungo vya uzazi vya kike na kiume, dini hizo zote zimekuwa dosari kubwa kwa ubinadamu katika enzi hii, haifai wafuasi wa dini hizo wanaendelea kuabudu dini hizo mbali na nchi yake au uzalendo wake.

Ama dini za mbinguni ni dini zisizotufautiana sana, kwani Uislamu umekiri ukweli wa manabii wake , na umesisitiza ukweli wa vitabu vyake, bali umeziridhiwa, na kutoa hukumu kwa mujibu wa matini zake, Mwenyezi Mungu (S.W) amesema {Hakika Sisi tuliteremsha Taurati yenye uwongofu na nuru, ambayo kwayo Manabii walio nyenyekea kiislamu, na wachamngu, na wanazuoni, waliwahukumu Mayahudi; kwani walikabidhiwa kukihifadhi Kitabu cha Mwenyezi Mungu. Nao wakawa ni mashahidi juu yake. Basi msiwaogope watu, bali niogopeni Mimi. Wala msibadilishe Aya zangu kwa thamani chache. Na wasio hukumu kwa aliyo teremsha Mwenyezi Mungu, basi hao ndio makafiri} "Suratt Almaaida, aya 44" na ulitoa wito kwa watu wa Injili "Biblia" kwa usuluhishi wa Injili: Mwenyezi Mungu (S.W) amesema {Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu.} "Suratt Almaaida, aya 47" kwa hivyo Qurani Tukufu inazingatiwa mazungumzo ya kiuungu tu inayoweza kuthibitisha ukweli wa unabii, vitabu vya mbinguni zilitanguliwa, tusipite kiasi tukisema ingekuwa Qurani Tukufu haiwezekani kuthibitisha unabii wa manabii wa zamani, wala vitabu, na ilitakiwa kuiimarisha cheo cha Qurani Tukufu kwa mataifa mengine, na kuiimarisha Qurani ni maslahi ya manabii, na kuthibitisha ukweli wa wito wao, na jumbe zao, na jambo la kusikitisha kwamba msimamo mtukufu wa Qurani huo unakubaliwa na wengeni kwa ukafiri na kiburi.

 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.