Demokrasia na Uislamu

Je, ni jambo la kikafiri kama wanavyodai wenye mawazo makali?

  • | Friday, 7 August, 2015
Demokrasia na Uislamu

Maana ya demokrasia kama mieleweko na istilahi ya kimagharibi ambazo hazikubaliani kwa upande wa kitamaduni, na kulikwepo baadhi ya istilahi maarufu kama Al-Mufasala "utenga baina haki na batili" katika "jamii ya kijenga na kuenea wazo la kupambana kwa nguvu kwa mfumo wa udekteta" –kama wenye msimamo mkali wanvyoisema- , mieleweko hii imezuia kuangalia kwa makini kwa demokrasia, na msimamo wa kiislamu una maoni tofauti miongoni mwao ni :
1-    Maoni yanakataa demokrasia kwa ujumla, na yanazingatia ukafiri, na maana yake ni kushirikiana katika utungaji wa sheria wa Mwenyezi Mungu na jambo hilo ni haramu, kwani Al-Hakimiya "utawala" huhusika uungu, na msimamo huo unakwenda sambamba na msimamo wa salafi jihad.
Kutokana na maoni hayo demokrasia ni mpato wa mawazo yasiyokuwa na dini , na ni jambo geni la kwa Uislamu kwani ni kipande cha mfumo unaowekwa na watu (sio kutoka Mwenyezi Mungu)
 
2-    Maoni yanakubali demokrasia kwa ujumla na yanaizingatia kufufuka kwa kiina cha Uislamu na mfumo wake wa kisiasa  unaosimamisha usawa na uadilifu na ushirikano wa watu wote wa jamii katika masuala ya kitawala kwa usawa.

3-    Maoni yanatazama kwa demokrasia ni njia ya kiutaratibu inasaidia kueguza suala la Shura kwa mfumo na serikali (chombo cha utawala), na ni njia wazi kwa kuwachagua wawakilisha wa umma katika bunge za mashauriano.


4-    Maoni yanakubali demokrasia na kuizingatia falsafa ya kisiasa na mawazo ya kitawala hayahusiana na masuala ya kidini, na demokrasia sio ila njia katika kuendesha masuala ya kisiasa.

5-    Maoni yanaona demokrasia ni njia ya kisiasa katika migogoro ya baadhi ya harakati za kiislamu dhidi ya serikali ya rasmi au njia kwa ajili ya kuondoa siasa kali.

Tofauti ya waislamu katika maoni yao kuhusu demokrasia ingawa mawazo yao toka imani zao au itikadi za jumla au misimamo ya kisiasa au mawazo ya kisayansi lakini yanaashiri kwa ukosefu wa mawazo ya kisiasa    

Print
Tags:
Rate this article:
5.0

Please login or register to post comments.