Kituo cha Al-Azhar chatoa kampeni "Michezo ni kujuana na kupendana" katika wakati huo huo wa Michuano ya kombe la mataifa ya afrika

  • | Saturday, 6 July, 2019
Kituo cha Al-Azhar chatoa kampeni "Michezo ni kujuana na kupendana" katika wakati huo huo wa Michuano ya kombe la mataifa ya afrika

     Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar kinatoa leo asubuhi kampeni chini anuani " Michezo ni kujuana na kupendana" katika wakati huo huo wa Michuano ya kombe la mataifa ya afrika, nchini Misri. Jumbe za kampeni zitakazoenewa kwa lugha kumi na mbili zinasisitiza umuhimu wa michezo katika kuungana watu wote na kukaribisha mawazo, na umuhimu wake katika ulinzi wa vijana wasiingizwa katika mawazo ya makundi ya kigaidi.

     Kampeni inaashiria roli muhimu ya michezo katika kukubaliana watu chini ya jina la ubinadamu na athari zake katika kuondoa hitilafu ya kidini, na ya kijiografia kati jamii tofauti. Kama pia kampeni inaonyesha matokeo mazuri yanayoathiri watu na jamii kupitia zoezi la michezo kama moja ya sababu zinzojenga ujenzi wa kisaikolojia na maendeleo ya wazo la ubunifu kwa vijana

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.