Imamu mkuu apongeza Papa Tawadros na Wakristo kwa pasaka ya kikristo

  • | Thursday, 16 April, 2020
Imamu mkuu apongeza Papa Tawadros na Wakristo kwa pasaka ya kikristo

     Mheshimiwa Imamu mkuu, Prof. Ahmad El-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, amepiga simu na utakatifu wa Papa Tawadros II, papa ya Alexandria na Patriarki wa kanisa kuu, Kumpongeza kwa Pasaka ya Kikristo.
Wakati wa mazungumzo kati yao wawili, wameombea Allah aondoke balaa, na kulinda Misri na raia wake kutoka.
Imamu mkuu alisisitiza fahari yake ya muungano wa kitakatifu uliojumuisha mioyo ya Wamisri, Waislamu na Wakristo, ambao waliweka mifano nzuri zaidi katika mshikamano, hasa katika janga hili la Corona lililoshuhudiwa na nchi yetu na ulimwengu wote unalitesekea.
 

Print
Tags:
Rate this article:
5.0

Please login or register to post comments.