Katika siku ya kimataifa ya wakimbizi: kukimbia na kuacha nyumba ni suala la kibinadamu katika kiwango cha kwanza

  • | Tuesday, 23 June, 2020
Katika siku ya kimataifa ya wakimbizi: kukimbia na kuacha nyumba ni suala la kibinadamu katika kiwango cha kwanza


     Kamishna kuu ya masuala ya wakimbizi ya umoja wa matiafa imesambaza katika ripoti yake ya mwaka "mieleko ya kimataifa"

Na imetaja kuwa idadi ya wakimbizi na wanaotaka kukimbia imefika milioni 79,5 katika mwaka wa 2019, ikisisitiza kwamba idadi hiyo kubwa inakadiriwa kwa 1% kutoka jumla ya wakazi wa dunia, na kwamba watoto wanafika 38,43% kutoka idadi iliyotajwa.
Pia ripoti iligawanya idadi iliyotajwa kwa aina tatu:
Ya kwanza: wanaokimbia kwa maeneo yenye amani zaidi ndani ya nchi yao, na idadi yao ni milioni 45,7%.
Ya pili: wanaokimbia kwa nchi nyingine na wanangojea kukubaliwa na nchi hizo na idadi yao ni milioni 4,2.
Ya tatu: ni wakimbizi tangu muda katika nchi nyingine na idadi yao ni milioni 29,6.

Kwa upande wake kituo cha uangalizi wa Al_ Azhar kinaona kwamba suala la wakimbizi ni suala la kibinadamu katika kiwango cha kwanza linalowajibikwa kuangaliwa kwa upande wa kibinadamu.
Kama kinachotakia wananchi wa ulimwengu mzima kuhishimu wakimbizi na kuacha mbali chuki. Na kuboresha sheria na kanuni zinazohusiana na wakimbizi na familia zao kwa mujibu wa iliyotajwa na kanuni za haki za binadamu na mikataba ya kimataifa, na kabla ya haya kwa kuheshimu ubinadamu.

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.