Imamu Mkuu: Kuchoma Msahafu kunachochea hisia za chuki na kunadhoofisha matokeo ya mazungumzo ya kidini

  • | Thursday, 3 September, 2020
Imamu Mkuu: Kuchoma Msahafu kunachochea hisia za chuki na kunadhoofisha matokeo ya mazungumzo ya kidini

     Watu waliofanya uhalifu wa kuchoma msahafu mtukufu wanapaswa kujua kwamba halifu hizo ni ugaidi mkali kwa kiasi chote, ni ubaguzi mbaya ulikataliwa na staarabu zote za kibinadamu, bali ni kuni ya mioto ya ugaidi ambayo mashariki na magharibi yanatesewa kutoka kwake.
Na bila shaka halifu hizo mbaya zinazidisha hisia za chuki, zinatia hatari usalama wa jamii, na zinatishia matamanio yanayotolewa na mazungumzo ya kidini na ya kiustaarabu.
Watu hao wanapaswa kujua kwamba kuchoma moto Msahafu Mtakatifu ni kama kuchoma moto hisia za Waislamu waliokaribia bilioni ulimwenguni kote, na kwamba historia ya kibinadamu itasajili halifu hizo katika kurasa za unyonge na fedheha.
 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.