"Waislamu wa Rohingya.. ni suala la kibinadamu ambalo bado linatafuta suluhisho".. Video mpya kwa kituo cha uangalizi cha Al-Azhar kwa lugha 12

  • | Tuesday, 8 September, 2020
"Waislamu wa Rohingya.. ni suala la kibinadamu ambalo bado linatafuta suluhisho".. Video mpya kwa kituo cha uangalizi cha Al-Azhar kwa lugha 12

     Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar cha kupambana na fikra kali kilitoa leo asubuhi ripoti ya video kwa lugha kumi na mbili chini ya anuani "Waislamu wa Rohingya.. suala la kibinadamu ambalo bado linatafuta suluhisho." Na Hiyo ni sehemu ya mlolongo wa machapisho ya video yanayosambazwa na kituo hicho kwa lugha ya Kiarabu na za kigeni.
Ripoti hiyo ilisisitiza kuwa tatizo la Waislamu wa Rohingya lililozuka tena mnamo Agosti 2017 ni tatizo la kibinadamu lililojaalia jukumu la kisheria na kimaadili la jamii ya kimataifa linakaribia kuanguka, kikielezea kwamba Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na aina zote za ukiukaji na mateso jambo lililowalazimisha karibu na Warohingya milioni moja kukimbilia nchi ya Bangladesh.
Imamu Mkuu Profesa/ Ahmed Al-Tayyib Sheikh wa Al-Azhar alikuwa akisisitiza katika taarifa kwamba Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na vitendo vya kinyama ambavyo ubinadamu visivyojulikana na ubinadamu hapo awali na hayo yote yalitokea kutokana na kufa kwa dhamiri ya kiulimwengu (...) na mikataba yote ya kimataifa iliyoahidi kulinda haki za binadamu amani ya wananchi na haki yao ya kuishi katika ardhi yao hiyo yote imekuwa bila ya faida, bali imekuwa uwongo ambao haustahiki bei ya wino iliyoandikwa nayo.
 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.