Kushambulia wanawake wawili nchini Uhispania ni tabia ya fujo na kitendo chenye fikra kali

  • | Monday, 28 September, 2020
Kushambulia wanawake wawili nchini Uhispania ni tabia ya fujo na kitendo chenye fikra kali

     Kituo cha uangalizi cha Al Azhar cha Kupambana na fikra kali kilifuata video ambayo ilisambazwa katika vyombo vya habari vya Kihispania, ambayo inaonyesha kwamba wanawake wawili Waislamu walishambuliwa kwa matusi na kupiga kupitia  kundi la wanawake katika moja ya barabara ya jiji la "Malqa" nchini Uhispania.
Kituo kinasisitiza kuwa shambulio hili dhahiri dhidi ya wanawake hao wawili wa Kiislamu ni tabia ya fujo na kitendo chenye fikra kali kinachotokana na matamshi ya chuki na hali Islamufobia ambayo Waislamu wanakabiliwa kama vile mazoea yanayotokana na jamii za Magharibi. kituo kinazitaka nchi za ulimwengu wa Magharibi kutekeleza adhabu kali juu ya walifanya uhalifu wa kibaguzi na chuki. Ili kupunguza hali hii iliyoenea, na ambayo inaweza kusababisha athari kubwa kuhusu amani na usalama wa jamii.
 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.