Sheikh wa Al_Azhar akataa kutumia istilahi ya "ugaidi wa kiislamu" na ataka kuharamisha kutimiwa kwake

  • | Friday, 2 October, 2020
Sheikh wa Al_Azhar akataa kutumia istilahi ya "ugaidi wa kiislamu" na ataka kuharamisha kutimiwa kwake

Mheshimiwa Imamu mkuu profesa/ Ahmad Al-Tayyib ameeleza kukanusha na ghadhabu yake kwa kukamia kwa baadhi ya wahusika wa nchi za Ulaya kuhusu kutumia istilahi ya "ugaidi wa kiislamu"; wasitanabahi kwa hatari za kutumia istilahi hiyo ambayo inadharau dini ya kiislamu na wanaoifuata na kupuuza sheria yake ya samehevu na iliyomo ndani yake kutoka kanuni na misingi inayoharamisha kuvunja haki ya wanadamu zote, na mwanzoni mwake ni haki yake katika uhai, uhuru, udugu na kuhishimiana ya pamoja.
Na sheikh wa Al-Azhar anasisitiza kwamba kuambatana neno la ugaidi kwa Uislamu au dini nyingine ya mbinguni ni uchanganiko wa kosa baina ya ukweli wa dini zilizoteremshwa mbinguni ili kuwafurahisha mwanadamu na baina ya kutumia dini kwa malengo ya chini kupitia watu wachache wapotovu kutoka dini hii na ile.
Hakika wahusika hao wasioacha kutumia istilahi hiyo mbaya, hawatanabahi wanakataa njia mbele ya mazungumzo mazuri yoyote baina ya mashariki na magharibi na wanainua wimbi wa hotuba za chuki baina ya wafuasi wa jamii moja.
Na Sheikh wa Al_azhar anawatakia wamagharibi wenye hekima kama wahusika au wanafikria na viongozi wa rai kwa dharura ya kutanabahi kwamba kusema istilahi potovu kama hizo hazitazidi jambo ila chuki na upotoshaji wa misingi ya ni za usamehevu zinazoita katika ukweli wake kwa kukataa ugomvi na zinahimiza kuishiana kwa pamoja katika amani baina ya wote.
 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.