Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar chathamini wito wa ya Rais Abdel Fattah El-Sisi ya kuzuia kudharau maadili ya kidini

  • | Wednesday, 9 December, 2020
Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar chathamini wito wa ya Rais Abdel Fattah El-Sisi ya kuzuia kudharau maadili ya kidini

     Jana, Jumatatu, Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar cha Kupambana na fikra kali kimefuata maelezo ya Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi, kupitia mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari uliokusanya baina yake na raisi wa Ufaransa Emmanuel Macron, katika Ikulu ya Elysee mjini mkuu wa Ufaransa, Paris.
Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar kinasifu usisitizo wa Rais Abdel Fattah El-Sisi kuhusu msimamo thabiti wa Misri kuhusu kulaani na kushutumu vitendo vyote vya kigaidi, na kutokubali sababu yoyote inayohalalisha halifu hizo, na kwamba Waislamu wanawaheshimu wafuasi wote wa dini zote, na kwamba maadili ya kidini  ya Kiislamu katika daraja ya juu kuliko maadili mengine kwa Waislamu.
Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar kinathamini wito wa Rais Abdel Fattah El-Sisi ya kuzuia kudharau vitakatifu vya kidini chini ya anuani mbiu ya kutumia uhuru wa kujieleza, na usisitizo wake kwamba uhuru wa kujieleza hauwezi kuwa sababu ya kuhalalisha hisia za wengine, na kwamba haikubaliki kuvunja maadili ya kidini na kudharau vitakatifu vya kidini kwa ajili ya maadili ya kibinadamu chini ya kauli hiyo.
Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar kinasisitiza kwamba maelezo ya Rais Abdel Fattah El-Sisi yanakuja katika wakati muhimu sana, sambamba na ongezeko wazi la viwango vya halifu za vurugu dhidi ya Waislamu, na ongezeko la vitendo vya ubaguzi dhidi ya Uislamu huko Ulaya, kikitoa wito kwa dharura ya kusikilizia pendekezo la Rais Abdel Fattah El-Sisi linalotakia umuhimu wa kufanya marejeo kwa maadili hayo yaliyokirishwa na baadhi ya nchi na yanayoruhusu kuidharau hisia za Waislamu chini ya anuani ya uhuru wa kujieleza!
 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.