Kituo cha uangalizi cha Alazhar

  • | Sunday, 10 January, 2021
Kituo cha uangalizi cha Alazhar

     Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na fikra kali kilitoa leo asubuhi, video kwa lugha kumi na mbili chini ya anuani: "Uhuru wa kidini... msingi halisi wa Kiislamu." 
Video hii ni miongoni wa video nyingi zilizochapishwa na kituo cha uangalizi kwa lugha ya Kiarabu na lugha za kigeni. 
Kituo cha uangalizi kilisisitiza katika video yake kwamba, uhuru wa kidini ni moja ya misingi muhimu zaidi ambayo Uislamu unaikubali wazi katika kauli ya Mwenyezi Mungu: "Hakuna kulazimisha katika dini". Na hiyo kabla ya mashirika ya kimataifa yanafahamu umuhimu wa kuzindua dhana ya uhuru.
Imamu Mkuu wa Al Azhar, Dk Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar, alikuwa alithibitisha katika hotuba yake wakati wa mkutano "Uhuru na Uraia ... Utofauti na Ujumuishaji", kwamba Uislamu unatukumbusha " Uhuru wa kidini ni haki ya kimsingi ambayo Mwenyezi Mungu amewaumba wanadamu wako huru, uhuru kutoka shinikizo, hasa yale yanayohusiana na uhuru wa dini, imani na madhehebu." Na kwamba maandishi ya kidini yameanzishwa kwa haki ya uhuru na ukombozi.
 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.