AL-AZHAR: Wakimbizi waishi katika shida nyingi, na jamii ya kimataifa lazima iwaunge mkono na kuwalinda

  • | Monday, 21 June, 2021
AL-AZHAR: Wakimbizi waishi katika shida nyingi, na jamii ya kimataifa lazima iwaunge mkono na kuwalinda

Al-Azhar inaukumbusha ulimwengu suala kongwe zaidi la wakimbizi  katika zama za kisasa.... " wakimbizi wapalestina"

leo 20 Juni  inaafikiana na siku ya kiulimwengu kwa wakimbizi.
katika mnasaba huo Al-Azhar Al-Sharif inatoa wito kwa nchi za ulimwengu wote kupa suala la wakimbizi kadiri yake, kwa kuzingatia mateso ya wakimbizi waliofukuzwa kutoka nyumba zao na nchi zao kwa sababu ya mateso, kuhamishwa na vita, na yaliyowaambukia miongoni mwa madhara ya kimada  na  ya kinafsi  na  mateso waliyoyapata bila sababu au hatia.
Al-Azhar inaukumbusha ulimwengu suala kongwe  zaidi la wakimbizi katika enzi za kisasa za wanadamu, ambalo ni suala la wakimbizi wa Kipalestina ambao walifukuzwa kutoka katika nyumba zao na ardhi zao kinyume cha sheria, kwa nguvu na ugaidi, katika kivuli cha ukimya kubwa kutoka ulimwengu, ikiwataka kila mtu kuunga mkono katika suala lao la kibinadamu na lenye uadilifu, ili waweze kurudi nyumbani zao kwa amani na salama.
Al-Azhar inataka jamii ya kimataifa kuongeza uangalifu kwa maswala ya wakimbizi, na kushughulikia sababu zao, ambapo nyenzo na uchoyo zimefunika ubinadamu na haki za binadamu.
Al-Azhar anatoa wito kwa jamii ya kimataifa kuzingatia zaidi maswala ya wakimbizi na kushughulikia sababu zao, kwani wapalestina wanaishi katika shida nyingi, na lazima waungwe mkono, walindwe, kuboresha maisha, kuwezeshwa na haki zao, na kusaidiwa kushinda athari za kisaikolojia ambazo ziliwalazimisha kukimbia nchi zao.
 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.