Daraja ya Tasawwuf katika Uislamu

  • | Tuesday, 21 September, 2021
Daraja ya Tasawwuf katika Uislamu

     Inapotaja Tasawwuf ilizuka machoni sura iliyobabiwa kwa wafuasi wa twariqa mbalimbali, wanapanguliwa wakati wa mahafala  ya kidini katika  zafa zilizoona sauti ya kivumi (ya juu sana sauti ya kilele) ,wanahudumu serekali ya usaliti, na wanafufua bidaa na hurafa ( ngano ya mazimwi), na hawainui bendera katika uwanja wa Jihad ila kwa nadra…
Kwa kweli watu kama hao hawahusishi na Tasawwuf, ama hawaijulishi hata kidogo.
Tasawwuf – sawa kama ni neno ya Kiarabu au neno  mkopo – inamaanisha hakika nyingine zinazostahiki kuzifundishwa na kuzidadiswa. Urithi wa kisofi pengine uambatana na maudhui ya kipeo sana yaliohishimiwa na kusifiwa, pia wakati nyingine inaambatana na  madai hazina faida yoyote, lakini ni bora kuzitajwa ili kuzijiepushia .
Na ya kwanza   tulitahadharia ni Tasawwuf ya kifalsafa iliyotokana kutoka wahindi na mayunani wa kijadi mfano wa kushukia na umoja wa kuungana (akida ya jilio roho ya Mungu katika mtu na mtu alikuwa katika hali ya kuungana  na Mungu), na kufuatia mangazimbwe ya kisilka (kihisia) mbali ya hidaya za kiislamu, na haziwezi kulinganishana na wahyi sahihi kama kuna Tasawwuf, ilisawazisha   uruhbani wa kibudhi na Kikristo, na ilitangaza vita juu ya mwili bila ya tafakuri ama faida. Au inahama dunia kwa kuziacha laza yake na iliacha kufanya bidi katika maisha yake, na ilizalisha vizazi wavivu na waliojivuta kutoka Nyanja za dunia walioleta dhiki kwa Uislamu zama nyingi, na hawafaulu katika kupata manufaa duniani wala mwishoni ( katika ahera) .
Tunakataa aina hiyo kutoka Tasawwuf, na tunasisitiza kwamba Uislamu uliikanusha, nadhani  kwamba sura ya kiawali kwa maumbile na elimu na maendeleo ya kibinadamu inapinza naye…
Lakini kuna Tasawwuf ilichipuka uangalifu wa Imani na Uislamu na ihsani, na inakua kwa vilaji vizuri vya elimu na kazi na iliweza kuremba hisia za kibinadamu kwa utumwa wa kweli na kuzihimiza ili kufanya juhudi Zaidi katika mambo ya kuridhisha Mwenyezi Mungu, na kusikia kwa ndani na uwepo wake na uangalifu wake, aina hii ilifurahisha wenyewe na hisia zao za ndani, hata lau hali zao ni huzuni kama watu wengine wanamona, hata msemaji nao anasema: kizuizini changu ni faragha, na uhamisho wangu ni utalii, na uuaji wangu ni shihada!!!
tasawwauf kama hiyo ilibadilisha maarifa ya kinadharia kidhahania kwa hisia  angavu ya kimoyo, wajibu zilitendezwa kwa hali ya uradhi na upendezi , sio kwa taabu na mashaka, na maovu inaachiliwa kwa hali ya kutosha na kutaala, ni kama Yusuf alipotamaniwa kinyume na malikia na wenzewe ,na njia  ushawishi ilifurushiwa na maua mbele yake, lakini yeye amesema:" Yusuf akasema: Ee Mola Mlezi wangu! Nastahabu kifungo kuliko haya anayo niitia. Na usipo niondoshe avitimbi vya wanawake mimi nitamili kwao, na nitakuwa katika wajinga"{Yusuf,33}
Na kupitisha elimu kutoka tasawari kidhahania mtupu  katika hisi ya kimoyo yenye upole upaji kiungu  utukufu, na Qur’ani aliashiria kwa taswira hiyo inapotaja hali ya kuneemesha kwa Mwenyezi Mungu juu ya maswahaba yake ya mtume S.A,W: " Na jueni kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu yuko nanyi. Lau angelikutiini katika mambo mengi, bila ya shaka mngelitaabika. Lakini Mwenyezi Mungu amekupendezeeni Imani, na akaipamba katika nyoyo zenu, na amekufanyeni muuchukie ukafiri, na upotovu, na uasi. Hao ndio walioongoka, Kwa fadhila za Mwenyezi Mungu na neema zake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima." { Al- Hujurati, 7,8}, pia mtume S.A,W aliashiria na amesema:" alionja ladha ya imani aliyeridhisha na Mwenyezi Mungu kama Mola  wake  wa pekee na Uislamu kama dini yake na Mohammad mtume na mjumbe wake" na wataalamu wa kisaikolojia wamesema hisi ina sura tatu: ufahamivu na undani na uteuzi.
Na Wasofi wa kweli wanasema: aliyetaka Mwenyezi Mungu naye heri alifanyika ufahamu wake umesimamisha juu ya ukweli, na undani wake juu ya kina na uteuzi juu ya hamu..
Tunapozingatia waadhimu wa wamuamini tunawakutana wao walitiwa kina ya hisia kwa kiasi iliyotiwa kutoka ukweli wa maarifa na kwa hivyo uteuzi wao ulikuwa kwa hamu ya kimotomoto  na mtando.
Na uzingatio wa aya zilizosifu Musa A.S : "Na nini kilichokutia haraka ukawaacha watu wako,ewe Musa?, . Akasema: Hao wapo nyuma yangu wananifuatia. Na nimefanya haraka kukujia, Mola wangu Mlezi, iliuridhika."{ twaha, 83,84}
Na uangalifu wa joto la upendo  na uteuzi wa hamu katika imesimuliwa juu ya mtume S.A.W kwamba yeye alikuwa kuitanda thaubu (nguo) yake mianzo ya mvua, na amesema:" mvua huu wenye usasa umeumbwa na Mola wake kutoka muda ya kifupi sana…"
Je, kwa hali ya kadhalika umeona aghalabu ya wamuamini? Au je, maulamaa waislamu walipanda kwa kiwangu hii?
Katika masomo mengi  na majaribio ya dunia tuliona watu wana hadhi ya zuri katika elimu za sharia na hukumu za Fiqhi, lakini mioyo yao ni tupu kutoka na hisia utulivu, na mori ya utaala , na upendo wa wengine.. na pia tuliona watu wana utulivu  katika hisia zao, ukarimu katika mienendo yao lakini wana kasoro katika elimu na Fiqhi ndogo katika sheria za kiislamu.
Kila ya  aina hiyo mbili ni watu wabaya na wapungufu! na uhalisi ni kuwa mtaalamu ambaye haina moyo ni kama mshairi ambaye haina ufahamu, ni balaa juu ya Uislamu na kizuizi juu ya kupatia manufaa yake.
Dini ni Akili na hisia, elimu na adabu maoni ya kisahihi na busara ya kiangavu.
Na kiasi ilikubaliwa, bali ilitakwa, kutoka Tasawwuf imekuwa katika nyanja zifuatazo:
Kwanza: katika kusomesha sababu za kisaikolojia na inapasa uangalizi mkali sana juu ya sababu za kazi hata nia imesafisha na kila machafu, na kuwa na unyofu kwa Mwenyezi Mungu.
Na iliyoangaliwa kwamba nafsi ya kibinadamu ni danganya sana na ina hila nyingi, na nafsi hiyo inahakikisha kilichopendeza kwa njia iliyokuwa sura yake ya nje ni utiifu na kwa ndani ni  kutosheleza   matumaini ya nafsi.
Pili: kutendekeza  kwa cheo cha ihsani, na kubaki kwa muda ndefu katika hali ya akiabudu Mwenyezi Mungu kama anamwona isipokuwa haimwoni lakini yeye mwenyezi mungu anakuona.
Hali kama hiyo haitimizi kwa mwako wa dhahania  katika faragha mbali, lakini  inatimiza na kusafirisha kutoka nchi na nyingine na kupata shida na ufanisi na afia na maradhi, na ushindi na ushinde ..n.k.
Tatu: kufuatia aya za Mwenyezi Mungu katika nafsi na anga au ulimwengu wote, na kudadisa wakati huu ama waliopita, na kujaribia kupandisha kwa kiwango cha Qur’ani na Sunna, hakika ya milango yote inafunguliwa mbele ya ambaye haifuati Mohammad S.A.W , hakika yeye ni Imamu wa wacha Mungu na bwana wa walezi..
Katika uwanga hii ni lazima kutaja kwamba tulipata faida kubwa kutoka Ibn Atwaaellah Alsakandari, na maulamaa wengi wameeleza idadi ya hekima zake katika vitabu vingi na wanaelewa kutoka hekima hizi pande ya uhisivu kwa Uislamu.
Wasofi Wao wangekuwa na ukweli, itakuwa tofauti juu ya majina sio misamiati, na inakuwa rahisi, na yaliyo ni muhimu kung'aa  ruhaniya ya ubinadamu miongoni mwa maumbile yake ya kimada, na hisia yake imeinuka hata mbinguni badala ya kubakia ardhini milele.
Na kutaali tukufu za Uluuhiya katika yaliyoona na kusikiliza , na amejikinga na nyumba ya starehe idanganyayo, na ametuliza na nyumba ya neema zitakazodumu.                                                                                                                                                                                                                                                                                        


 

Print
Categories: Makala
Tags:
Rate this article:
5.0

Please login or register to post comments.