Wanadai .. Tunasahihisha

7

  • | Sunday, 12 June, 2016

•    Kutendeana na wengine na kushirikiana nao katika mambo na maslahi za pamoja haiwezekana kuwa haramu na dalili ya hayo ni kwamba Mtume (S.A.W.) alitendeana na kuwasiliana na wengine na hakukataza kufanya hivyo, bali Qurani Tukufu imesema: {Mwenyezi Mungu hakukatazeni kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni makwenu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao uadilifu* Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kufanya urafiki na wale walio kupigeni vita, na wakakutoeni makwenu, na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu. Na wanao wafanya hao marafiki basi hao ndio madhaalimu}
•    Basi dini yetu haituagizi kufanya uadui na wale wasio waislamu na kutendeana nao kikali na kwa nguvu na vurugu isipokuwa katika hali ya kujitetea kutokana na uadui, jambo linalokubalika kiakili, ama wakiwa waislamu katika hali ya kupitisha amani na wengine basi wanapaswa kutekeleza hukumu za aya takatifu kati ya kuwafanyia wema na uadilifu.

 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.