Wanadai .. Tunasahihisha

12

  • | Friday, 17 June, 2016

Al-Walaa ni ahadi ya ibada, asili yake ni tawhidi ya Mwenyezi Mungu kwa kumtii pekee katika kila kitu, na kuimarisha dhana za upendo, huruma, harambe katika dini, na kunusuru nchi, ama Al-Baraa ni jambo la ibada inayomaanisha kuwa Mwislamu huchukia itikadi za kikafiri, na kuzikataa, na kujiweka mbali nazo, ambapo ni itikadi zinazotegemea kubatilisha mambo ya kikweli ya Imani yaliyopo katika Uislamu. Jambo lisilomaanisha kuwa Mwislamu anachukia kabisa wasio waislamu bila ya kuwepo sababu, tusisahau kuwa Mwenyezi Mungu katika Qurani yake Tukufu amezungumzia nabii yake (S.A.W.) akisema “Kwa hakika wewe humwongoi umpendaye, lakini Mwenyezi Mungu humwongoa amtakaye. Na Yeye ndiye anawajua zaidi waongokao"

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.