Wanadai .. Tunasahihisha

13

  • | Saturday, 18 June, 2016

Ukweli ni kwamba dhana ya Al-Walaa na Al-Baraa inategemea hali ya amani na hali ya vita, ambapo katika hali ya amani inapaswa kutendeana kwa mujibu wa wema, uadilifu na ihsani, ama katika hali ya vita mwislamu hutakiwa kuwa na upendeleo kwa nchi na dini yake pamoja na kuhifadhi juu ya matendeano mema, uadilifu na ihsani. Lakini mwislmau akifanya khiyana akajiandamana na wasio waislamu akiacha dini yake na nchi yake akawasaidia maadui wa dini yo yote basi ni mtu anayestahiki kukataliwa na jamii yake na huwa dhambi kubwa ambapo mtawala ana haki ya kumpitishia adhabu anayoiona kwa ajili ya kutekeleza maslahi za ummah na kuwakataa wanaotaka kufanya vitendo vinavyofanana na alivyovifanya.

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.