RAMADHANI NI MWEZI WA USHINDI

Imeandaliwa na Dkt.; Alaa Salah Abdul-Wahed

  • | Thursday, 21 March, 2024
RAMADHANI NI MWEZI WA USHINDI

 

 

     Pale unapotajwa ukombozi katika Ramadhani hapo fikra huenda moja kwa moja juu ya ukombozi wa kiaskari ambao waliuhakikisha waislam kwa maadui wao katika mwezi huu toka kwa vita vya badri hadi ukombozi wa maka hadi vita vya Ainujaluti na vinginevyo katika matukio ya kiimani ambavyo Mwenyezi Mungu alivyoviweka juu ya ukombozi ambao hutia nguvu waja wake waumini nah ii ni haki lakini kwa upande wa ukombozi katika ramadhani kwa muumini sio huishia ukombozi tuu bali huhakikisha hadi kwa maadui wauma na wale wanaokwenda umra ndani ya mwezi wa ramadhani tangu kuanza kwa kuletwa ujumbe huu hadi hivi sasa kwa kiasi kwamba matokeo kwa upande wa kiroho ambao Ramadhani hufanya ni nguvu ya pekee na rehema kubwa na ni zawadi kubwa toka kwa Mwenyezi Mungu kwa waja wake walio waumini wema wenye kufunga  ambao hufanya maandalizi ya ukombozi ili waweze kuupata ukombozi.

 

Kwani hiyo ni maslahi ya kila ukombozi ambao hutokea na hupata muumini miongoni mwa sababu za ukombozi kwa daraja la mtu mmoja na kwa watu wengi ndani ya mwezi wa ramadhani kama alivyosema Mwenyezi Mungu Mtukufu (Enyi ambao mlioamini ikiwa mtainusuru dini ya Mwenyezi Mungu basi naye Mweyezi Mungu atawanusuru na ataithibitisha miguu yenu)) na popote unapofaulu juu ya juhudi zake na kufanikiwa pia katika kufikia lengo hilo. Na inadhihiri juu ya ukombozi kwa namna zake zote ndani ya huu unapoinuka basi huinuka wa upande mwengine na kusogelea muda wake na kutimia sababu zake na popote inapozuka kufeli na pia mapungufu kwa upande huu hapo upande mwingine hua mbali na kuweza kufanikiwa, na hivi hivi pamesemwa kuwa ((Yule ambaye asiyepata ukombozi katika mtaa basi hatopata ukombozi sehemu nyingine na hivyo basi ramadhani ni shule na ni kituo muhimu kinachomfanya muumini moyoni mwake kuwa na ratiba ya kimatendo juu ya kuhakikisha ukombozi kwa ufahamu wake kamili na uliokusanya na kuhifadhi idadi iliyozingatiwa juu ya ukombozi ambao ni wajibu kwa mfungaji au hakikishe na pia afaulu katika mtihani wake ili atie nguvu na atulie kuwa kweli yeye ameweza juu ya kupata matunda hayo ya ukombozi wa kiimani na kukuza mbegu za kuifatilia nafsi na kujitenga kwa ajili ya ibada ya Mwenyezi Mungu mtukufu, basi kule kujizuia mfungaji ni ukombozi wa kiimani na atatoka akiwa na fungu kubwa.

 

  1. Kuepukana na kujionyesha; basi ramahdani ni mwezi wa usafi wa moyo hilo hlaina ubishi, kwani imetosheleza kila kifaa cha kufaulu kwa muumini na kujiepusha na kila kinachopelekea kujionyesha na sababu zake na kukuza muendelezo wa kuichunga nafsi na kujisogeza kwa Mwenyezi Mungu mtukufu, na pale anapojizuia mfungaji juu ya chakula na kinywaji  na anasa nyingine za kifedha au kimaana mchana kutwa kwa kujibu na kutekeleza amri ya Mwenyezi Mungu. Hiyo tuu ni ainal ya utakasifu wa moyo (Ikhlasi) na  kuhakikisha iana hii ni ukombozi nao ni msingi ambao hujenga kila aina ya ukombozi mwingine.

 

Na kama muumini atalelewa hivi basi maisha yake yote ataukataza moyo wake mambo mabaya na kuyafanya yale yanayomridhisha Mwenyezi Mungu na kutodharau ibada na kujiepusha  na mambo asiyoyaridhia Mwenyezi Mungu miongoni mwa  maneno au vitendo au tabia au mwenendo wa siri au wa wazi hapo atakuwa amefanikiwa kwa kuvuka kizingiti  cha ukombozi kwa hatua ya kwanza na umuhimu katika shule ya ramadhani ni kushikamana na masomo yake ya lazima  kwa mwaka wote.

 

  1. Kuepukana na shetani, hapo basi ameandaa Mwenyezi Mungu kwa mfungaji na kujilinda ili iwe wepesi nah ii ni aina ya ukombozi na ili aweze kuwa na nguvu katika dondoo hii ambayo ni kujizuia kiimani kwake na kuhudhurisha sababu zote za nguvu ambazo ni za lazima ili asiende katika vita vya shetani kwa njia ya kudumu au kwa uchache iwe kwa mnomno na ramadhani ni fursa (nafasi) na kuwa hukumu wasio kuwa hao katika miezi mingine na kuweza kumshinda kwa wepesi na urahisi kwani pale utakaposhindwa katika vita na shetani hapo itakuwa ni aibu na ni mapungufu na kunyimwa nguvu ya kumshinda.

 

  1. Kuyashinda matamanio: hapo ramadhani ni mazoezi ya vitendo kwa mfungaji juu ya kuyashinda matamanio yake mbalimbali kuanzia matamanio ya tumbo nay a utupu na macho na masikio na kuzungumza na moyo na nafsi na mengineyo kwa kiasi cha kuipa uhuru mambo ya siri  na kuyatawalia yale yote na kuvutia kwa kina na kusafisha yale yote yanayopelekea kukubali kutekeleza jambo la anasa, na kushinda vita vya anasa na matamanio hilo ni jambo la kurudi kwa kila muumini kwani yeye hata kama atashindwa na kufeli katika kujizuia na kusalimika nayo hapo itapelekea kushinda katika kila vita vingine basi vita vya viuongo vya mwili huzuia nguvu za kushinda vita vya shetani katika mambo yako ya akhera ambayo ndio kiini cha kuja kwako duniani na hawakufaulu waliopita kabla yetu kwa maadui zao isipokukwa baada ya kushinda kwa vita hivi dhidi ya shetani na matamanio haya, na hawakushinda na kuvunja matamanio yao isipokuwa pale walipojisalimisha juu ya matamanio yao na wakashinda mbele yake, na hatukupata hasara  huko Andalusi kwa ubaya zaidi isipokuwa ubora wa ushahidi ni haya ninayoyasema mimi.

 

  1. Kuyashinda magonjwa ya moyo na kwa kuwa moyo uliosalimika ndio mali yenye faida ambayo inampa faida mtu siku ya mwisho na kumuokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu kama alivyosema Allah ((siku ambayo haitomfaa mtu mali wala watoto isipokuwa Yule aliyekuja kwa Mwenyezi Mungu kwa moyo uliosalimika)) na kwa kuwa moyo mweusi  uliotota kwa magonjwa ya chuki binafsi choyo, kiburi, kujikweza kwa watu na mengineyo haya yote yanazuia rehema za Mwenyezi Mungu. Ni kizuizi kisicho na tawfiq chencye kuzuia bila ya mambo maalumu kwa mtu na kutokana na magonjwa haya ni yenye kuvunja  dini kama ilivyo kuja katika hadithi (yalienea kwenu magonjwa kwa watu waliopita kabla yenu choyo chuki binafsi  bughudha dharau, yote hayo ni yenye kunyoa, sisemi kunyoa nyewele lakini yananyoa dini)) kwa hakika Mwezi wa Saumu na nafasi ya dhahabu kwa ajili ya kuondokana na magonjwa hayo na pia kuepukana nayo kabisa kwani njia za kusafisha nyoyo zipo ndani ya mwezi huu na aina za misaada juu ya hilo ni mepesi isipokuwa kwa Yule atakayekataa . Mungu anajua zaidi.

 

Kwa jumla, Ramadhani si mwezi wa uvivu wala kulala misikitini, bali ni mwezi wa kazi, jitihada mpaka jihadi inapendezwa katika mwezi huu mtukufu, na kwa kusema jihadi hapa tunamaanisha jihadi kwa aina zake zote ikijumuisha, jihadi kwa mwili na jihadi kwa roho; ya kwanza ni jihadi ya kupambana na maadui katika vita halali kama ilivyotukia katika vita vya Oktoba na vita vya Badr, pengine jihadi ya aina ya pili ni jihadi ya kiroho ya kuvumulia na kutekeleza ibada kwa namna nzuri kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.

Print
Categories: Makala
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.