Wanadai .. Tunasahihisha

22

  • | Monday, 27 June, 2016

Kwa kweli hakuna upingano baina ya kujiunga na nchi au taifa na kujiunga na dini ila ikiwa kujiunga na nchi kutasababisha kuvuka maagizo na makatazo ya Mwenyezi Mungu.
Ama mwislamu kujiunga na dini yake, nchi yake na watu wake ambapo alizaliwa na akaishi pamoja nao, wakaafikiana kimila na kimaadili pasipo na kuvuka sheria za dini, basi si kitu wala hakuna upingano wo wote baina ya hili na lile; yaani kujiunga na dini na kujiunga na taifa au nchi.  

 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.