Dhana ya Jihad 11

  • | Sunday, 31 July, 2016

Je, waislamu wanawapigania vita wengine kwa sababu ya uadui wao au kwa sababu ya ukafiri? Jibu lililokubaliwa na maulamaa wa waislamu kwa kutegemea Qurani Tukufu na misimamo ya Mtume na wasio waislamu: ni kwamba sababu ya msingi ya kuwaruhusia waislamu kupigana na makafiri ni uadui, ama kutofautiana katika dini – pasipo na uadui – haifai kuwa sababu ya kuwaruhusia kupigana, wala haiwezekani kuwa hivyo, kwani Qurani Tukufu ilikiri uhuru wa kuamini au kutoamini; Mwenyezi Mungu Amesema: "Basi atakaye aamini. Na atakaye akatae" kwa kweli Qurani haina kupingana yenyewe kwa yenyewe.

Print
Categories: Dhana ya Jihad
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.