Dhana ya Jihad 13

  • | Saturday, 6 August, 2016

Kwa hakika Uislamu umeharamisha kuwaua watoto, wazee, padri, kipofu, mlemavu na mwajiriwa waliomo kampeni mwa maadui, kwani watu hawa hawatazamiwi kupigana wala kufanya uadui, kwa hiyo imeharamishwa kuwaua ingawa wao ni makafiri, kama ikiwa sababu ya kuruhusu kuwaua ni ukafiri basi inajuzu kuwaua wale wanyonge kwani ni makafiri.

Print
Categories: Dhana ya Jihad
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.