Dhana ya Jihad 14

  • | Saturday, 6 August, 2016

Sio sahihi kwamba Uislamu ni dini ya upanga, kama yanavyotajwa katika maandishi ya baadhi ya waliojishughulikia kuuchafusha Uislamu na ustaarabu wake, jambo linalohitaji kujadiliwa kirefu, lakini tutatosheleka kudokeza kuwa Qurani iliyopitisha uhuru wa kujiunga itikadi yo yote katika aya zake, haiwezekani kupitisha katika wakati huo huo kutumia upanga wala chombo cho chote kwa ajili ya kueneza Uislamu, wala haina njia nyingine katika ulinginiaji kwa Uislamu isipokuwa kuwakinaisha watu kwa hoja na dalili.   

Print
Categories: Dhana ya Jihad
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.