Dhana ya Jihad 16

  • | Saturday, 6 August, 2016

Mtume Mohammad (S.A.W.) alikuwa akisema kwa waislamu: "Msitamani kukutana na maadui, na Mmwombeni Mwenyezi Mungu Akupeni amani", hapa tunadokeza kwamba waislamu hawakupigana na Wahabashi wala hawakuwa na vita nao, ingawa maeneo ya Wahabashi yako karibu mno na Peninsula ya Kiarabu, na kwamba waislamu wanawajua Wahabashi na hali zao vyema, lakini hawakuwapigania vita wala hawakuyakalia maeneo yao pamoja na udhaifu wake, bali waliwapigania vita Makureish, Waajemi na Warumi; kwani madola hayo yaliwafanyia waislamu uadui wa kweli, ilhali Wahabashi walikuwa wakitendeana na waislamu kwa uadilifu na upole.

Print
Categories: Dhana ya Jihad
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.