Haikubaliki kusema kwamba madamu Jihad ni faradhi katika Uislamu, basi kila mwislamu huwa na haki ya kujihami kwa upanga au silaha na kuwapigania vita wengineo, kwa hakika kufanya hivyo uhalifu na kosa kubwa.