Dhana ya Jihad 6

Haikubaliki kusema kwamba madamu Jihad ni faradhi katika Uislamu, basi kila mwislamu huwa na haki ya kujihami kwa upanga au silaha na kuwapigania vita wengineo, kwa hakika kufanya hivyo uhalifu na kosa kubwa.

Wednesday, 27 July, 2016
Dhana ya Jihad 5

Kama Jihad katika Uislamu ina maana ya kupigania vita vya kujilinda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, basi itakuwa la kubalika kuwa utetezi huo ni lazima hasa ikiwa hali ya mambo inawajibisha kufanya hivyo.

Wednesday, 27 July, 2016
Dhana ya Jihad 4

Faradhi ya Jihad  - ambayo baadhi ya watu hujaribu kuichafusha -  haikupitishwa ila kwa lengo la kutetea nafsi, imani na nchi.

Monday, 25 July, 2016
Dhana ya Jihad 3

Uagizo wa kufanya Jihad katika Uislamu haumaanishi kuagiza kufanya mauaji, bali ni uagizo wa kujitetea, kwa maana ya kupambana na anayetuvamia na kupigana naye, ili kuzuia uadui wake na kusimamisha uvamizi wake.

Monday, 25 July, 2016
Dhanaya Jihad 2
Jiahd katika falsafa ya Uislamu haipitishwi kwa ajili ya kupanua eneo la dola la kiislamu, au kuzikalia ardhi, au kudhibiti rasimali ya watu wengineo, au kuwashinda watu na kuwadhalilisha, au mambo yo yote mengineyo kati ya malengo ya kimada...
Saturday, 23 July, 2016
First8384858688909192Last