Dhana ya Jihad 10
Kauli ya Mwenyezi Mungu (S.W.): "Wameruhusiwa kupigana wale wanaopigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia", aya hiyo inabainisha kuwa waislamu hawakuwashambulia makafiri kwanza, bali...
Sunday, 31 July, 2016