Uislamu sio dini ya kikabila, na wala hautesi mwingine
Uislamu una mtazamo safi sana kuhusu binadamu na ulimwengu na maisha, na umuhimu wa kubadilisha manufaa na mahusiano kwa usalama baina ya watu. Kwa hivyo usamehe ni silka njema, Uislamu umevumaika uimarishaji wa silka hiyo. Usamehe sio neno...
Friday, 7 August, 2015
Imamu Mkuu katika mkutano wake na waziri wa ulinzi wa Ufaransa :Tunaheshimu msaada wa kudumu wa Ufaransa kwa Misri…..na ugaidi hauhusiani na eneo letu la kiarabu tu bali umepindukia ulimwenguni kote
Mheshimiwa Imamu mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif profesa; Ahmed Al-Tayyib alikaribisha leo asubuhi waziri wa ulinzi wa kifaransa Jane Eve Lordian, na ujumbe wanaoambatana naye, ili kutambua mtazamo wa mheshimiwa imamu mkuu kuhusu matukio yanayojiri...
Monday, 27 July, 2015
Al-Azhar Al-Shareif yashutumu mashambulio ya kigaidi katika kaskazini mashariki mwa Nigeria
Al-Azhar Al-Shareif inashutumu mashambulio ya kigaidi ambayo yametekelezwa na wanamgambo wenye silaha wa kundi la Boko Haram dhidi ya miji kadhaa kaskazini mashariki mwa Nigeria, ambapo mashambulio hayo yamesababisha kuwaua zaidi ya watu arobaini...
Wednesday, 15 July, 2015
Al-Azhar Al-Shareif yamwomboleza Prince Soud Al-Faysal..
Na inasisitiza kuwa: historia itakumbuka kwa milele misimamo yake ya kihistoria kuhusu masuala ya Umma zake mbili: ya Kiarabu na ya Kiislamu   Kwa imani thabiti kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu na Kadari yake, Al-Azhar Al-Shareif na...
Saturday, 11 July, 2015
First6869707172737476