Hii ni Taarifa kwa Watu Majibu ya Imamu Mkuu kuhusu baadhi ya maswali yanayoulizwa katika vyombo vya habari na makongamano mengine
Mwanadamu hukua akiwa na tabia ya kupenda kujifunza, na tabia hiyo inamsukuma daima kusaka saka maarifa, kwa hiyo imesemwa kuhusu mwanadamu: "Hakika yeye hupenda kujifunza kitabia"; maana mwanadamu hupenda kujifunza na havumilii kubaki...
Friday, 28 August, 2015
Profesa; Ahmed Al-Tayyib Sheikh mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif kwenye mkutano wa kimataifa wa Fatwa kwa anuani ya: "Fatwa…Matatizo ya kisasa na Matamanio ya ujao"
Hotuba ya Mheshimiwa Imamu Mkuu Profesa; Ahmed Al-Tayyib Sheikh mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif  kwenye mkutano wa kimataifa wa Fatwa kwa anuani ya: "Fatwa…Matatizo ya kisasa na Matamanio ya ujao" KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU...
Tuesday, 18 August, 2015
Taarifa ya Al-Azhar Al-Shareif kuhusu Shirika la Kimataifa la Msamaha (Amnesty)
-    Al-Azhar Al-Shareif yalaani wito wa shirika la kimataifa la msamaha (Amnesty) wa kutozingatia ukahaba ni jinai….ikisistiza: -    Wito hii ni ukiukaji wa heshima ya mtu na kumfanya mtumwa na mwili...
Wednesday, 12 August, 2015
Hali ya mwanamke chini ya utawala wa kundi la kigaidi la Daesh ikilinganishwa na hali yake katika Uislamu
Hakika Qurani Tukufu inapozungumzia chimbuko la binadamu, imemfanya mwanamke mshiriki pamoja na mwanamume katika chimbuko hilo. Qurani tukufu ikafanya hayo ni neema juu ya mwanadamu inayostahiki shukrani. Maana ya hayo ni kwamba hakuna tofauti...
Friday, 7 August, 2015
Dhana ya Hijabu na Masharti yake ya kisheria
Kwa hakika Uislamu umezigatia mavazi ni kiwakilishi cha maadili, tabia nzuri ambazo jamii ya kiislamu inaziamini, na kwamba Mwenyezi Mungu ametupa neema kubwa sisi  wana wa Adam (Banu Adam) kwa mavazi yanayofunika miili yetu, ukatuombea...
Friday, 7 August, 2015
First6970717273757778