Sheikh wa Al Azhar kwa Rais wa Shirika la Maendeleo la Marikani: Kusimamisha vita na chuki ndio njia rahisi kabisa ya kutatua matatizo ya ulimwengu
     Rais wa shirika la maendeleo la Marekani: Tunashughulika kwa kusaidiana na Al-Azhar kwa ajili ya kutokomeza mizizi ya chuki na ugaidi ulimwenguni Mheshimiwa imamu Mkuu, Profesa Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif,...
Monday, 12 October, 2020
Sheikh wa Al_Azhar akataa kutumia istilahi ya "ugaidi wa kiislamu" na ataka kuharamisha kutimiwa kwake
Mheshimiwa Imamu mkuu profesa/ Ahmad Al-Tayyib ameeleza kukanusha na ghadhabu yake kwa kukamia kwa baadhi ya wahusika wa nchi za Ulaya kuhusu kutumia istilahi ya "ugaidi wa kiislamu"; wasitanabahi kwa hatari za kutumia istilahi hiyo...
Friday, 2 October, 2020
Kwa mnasaba wa kukaribia mwaka mpya wa masomo .. shule ina roli muhimu zaidi katika kupambana na siasa kali
     Jamii zetu katika enzi hii ya utandawazi zinashuhudia mabadiliko ya haraka katika nyanja za kielimu, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kiufundi, na mabadiliko haya yakawa yana athari kubwa kwa vijana, jambo ambalo liliwafanya...
Thursday, 1 October, 2020
Kushambulia wanawake wawili nchini Uhispania ni tabia ya fujo na kitendo chenye fikra kali
     Kituo cha uangalizi cha Al Azhar cha Kupambana na fikra kali kilifuata video ambayo ilisambazwa katika vyombo vya habari vya Kihispania, ambayo inaonyesha kwamba wanawake wawili Waislamu walishambuliwa kwa matusi na kupiga...
Monday, 28 September, 2020
kituo_cha_uangalizi_cha_Al_Azhar katika siku_ya_kimataifa_ya_amani: amani ni asili katika kuamiliana na mwavuli kwa watu wote
    Kila mwaka mnamo tarehe 21 mwezi wa Septemba, ulimwengu unaadhimisha "siku ya kimataifa ya amani," iliyopitishwa na jumuiya kuu ya umoja wa mataifa mnamo 1981; ili kusherehekea na kuimarisha maadili ya amani kati ya...
Monday, 21 September, 2020
First2526272830323334Last