Jukumu la Uislamu katika uongufo wa Dhamira ya Kibinadamu
        Shughuli ya kwanza kwa Uislamu ni dhamira kama walivyosema wanachuoni wa maadili – hakika amani ya moyo huu kutoka kasoro, na uthabiti wa mwelekeo wake kwa heri, inamaanisha kwamba kuna mapatano mengi na...
Tuesday, 15 June, 2021
Balozi wa Japani asifu juhudi za Kituo cha Uangalizi cha Al-Azhar. akisisitiza: Tunataka kuendelea mawasiliano ili kupambana na fikra kali
     Kituo cha Uangalizi cha Al-Azhar cha Kupambana na fikra kali kilipokea jana Jumapili, Mheshimiwa Balozi Masaaki Noki, Balozi wa Japani huko Cairo, ili kujua jukumu la Kituo cha Uangalizi katika kupambana na fikra kali, na...
Monday, 14 June, 2021
Vyombo vya Habari na Mitandao ya Mawasiliano ya kijamii kati ya kueneza na kupambana na fikra kali
    Kwa hakika makundi ya kigaidi yanatumia silaha nyingine mbali na mabunduki na mabomo, kwa kuwa makundi haya yametambua kuwa vita si lazima iwe kwa kutumia bunduki na risasi tu, bali zipo silaha nyinginezo ambazo hatari yake huwa...
Saturday, 12 June, 2021
Kwa lugha 12... kituo cha uangalizi cha Al-Azhar chazungumzia jambo la kuzishambulia nyumba za ibada katika video mpya
     Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar cha Kupambana na fikra kali kilitoa video 12 kwa lugha zake tofauti, ambazo zilikuwa kuhusu jambo la kuzishambulia nyumba za ibada na kulichambua kupitia kubainisha hatari yake kwa uhuru wa...
Monday, 7 June, 2021
Nigeria baina ya ugaidi na waliotoroka gerezani
     Kwa kweli, siku hizi,  Nigeria inakabiliwa na changamoto kadhaa. mwangalizi katika mambo ya Kiafrika, hasa katika nchi za Afrika Magharibi, ataona kwamba, nchini Nigeria, inakabiliwa na changamoto nyingi zinazoilemea....
Saturday, 10 April, 2021
First2223242527293031Last