Mwenendo wa Imamu katika kuimarisha amani duniani
     Hapana shaka kwamba juhudi za Imamu Mkuu Prof. Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al_Azhar Al-Sharif, katika kuimarisha maadili na kuweka misingi ya amani katika sehemu mbalimbali za dunia, hasa katika bara la Afrika, ambapo imamu...
Sunday, 25 September, 2022
Viongozi wa dini dhidi ya mapenzi ya jinsia moja
     Kwa kufuatilia majaribio ya kuingiza mawazo potofu ambayo yanayokwenda kinyume na dini zote za mbinguni na kuyalazimisha kwenye jamii, kituo cha uangalizi cha Al_Azhar cha kupambana na fikra kali kilifuatilia mikutano ya...
Tuesday, 5 July, 2022
Hotuba ya Kuaga ya Mtume (S.A.W.) ni Azimio la Kwanza la Amani ya Kimataifa
       Katika siku kama hizi, Mtume (S.A.W.) alisimama akihotubia waumini, bali wanadamu wote kwenye siku ya Arafa katika Hijja ya Kuaga, ambapo alitoa maneno mazito ya kusisitiza namna ya kuishi baina ya wanadamu kwa...
Tuesday, 28 June, 2022
Mchango wa Elimu na Utamaduni katika Kujenga mtu mwenye nafsi na akili timamu
     Inatajwa kuwa imani ya kweli inahimiza tabia njema na mwenendo mzuri unaotokana na maadili mema na kudhibiti maumbile ya mtu kukubali lililo sawa na kukataa mabaya na maovu. Kwa mujibu wa sheria ya kiislamu mwanadamu...
Sunday, 19 June, 2022
Al_Azhar yalaani shambulio la kigaidi kwenye moja ya vituo vya maji magharibi mwa Sinai, na kuwaomboleza mashahidi wa nchi
     Al_Azhar Al-Sharif inalaani vikali shambulio la kigaidi lililolenga kituo cha kuinua maji magharibi mwa Sinai, ambalo lilisababisha kifo cha afisa mmoja na wanajeshi 10, na wengine 5 kujeruhiwa. Al_Azhar inasisitiza kwamba...
Sunday, 8 May, 2022
First1718192022242526Last