Hotuba ya Kuaga ya Mtume ni Azimio la Kimataifa la Amani na Utulivu
   Mtume (S.A.W.) alisimama akihotubia waumini, bali wanadamu wote kwenye siku ya Arafa katika Hijja ya Kuaga, ambapo alitoa maneno mazito ya kusisitiza namna ya kuishi baina ya wanadamu kwa amani na utulivu, siyo hiyo tu bali...
Monday, 26 June, 2023
Kiashirio cha operesheni za kigaidi kwenye nchi za Kiafrika kwa Mwezi wa May 2023
Mwezi wa Mei 2023 ulishuhudia upungufu mkubwa kwa asilimia ya operesheni za kigaidi zilizoanzishwa na makundi yenye fikra kali barani Afrika, ikilinganishwa na Aprili iliyopita, kwa takriban 18.9%. Ambapo mashambulizi ya kigaidi (30) yalirekodiwa...
Wednesday, 7 June, 2023
Maadili ya Kusameheana na Kukubali Maoni Tofauti katika Uislamu
       Kutokana na maumbile ya kibinadamu inatokea mara kwa mara kuwa watu kuhitilafiana mitazamo na maoni yao, lakini katika hali hii lazima kitu cha pamoja kipatikane nalo ni suala lenyewe, kwa hiyo kutofautiana ni hali...
Wednesday, 7 June, 2023
Uislamu na (Dini) zingine
      Mwanaadamu ni kiumbe mwenye utukufu Zaidi na anastahiki kuwa kiumbe kipenzi mbele ya Allah Mtukufu. Kwa mujibu wa Qur’an kila mwanaadamu hupewa heshima kwa fadhila ya kuwa tu ni mwanaadamu kabla hata watu hawajagawanywa...
Tuesday, 30 May, 2023
Kiashirio cha operesheni za kigaidi nchini za kifrika kwa mwezi wa Aprili 2023
     Mwezi wa Aprili 2023 ulirekodi ongezeko kubwa la asilimia ya operesheni za kigaidi zilizofanywa na makundi yenye fikra kali barani Afrika, ikilinganishwa na Machi uliopita, kwa karibu 19%, ambapo mashambulizi 37 ya kigaidi...
Tuesday, 9 May, 2023
First1516171820222324Last