Al-Azhar yalaani vikali kuendelea kudhuru Qur’an huko Uswidi: aibu kwenye paji la uso la Uswidi
     Al_Azhar: Uswidi imethibitisha kwa vitendo vyake kwamba ndiyo jamii iliyo karibu zaidi na ubaguzi na iliyo mbali zaidi na kuheshimu dini na watu. Al_Azhar yatoa wito kwa watu wote walio huru duniani kuendelea kususia bidhaa...
Monday, 24 July, 2023
Sheikh wa Al-Azhar ampokea waziri wa ulinzi wa Guinea Conakry, na kujadili njia za kuimarisha ushirikiano katika nyanja za kisayansi na kiulingano
     Mheshimiwa Imamu Mkuu, profesa/ Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al Azhar Al Sharif, alimpokea leo, Jumanne, katika makao makuu ya Al-Azhar, Meja Jenerali Abu Bakr Siddiqi Kamara, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Guinea Conakry;...
Wednesday, 19 July, 2023
Makundi Yanayofichwa ya ISIS na Hatari za Kurudi
     Mnamo Aprili 2023, serikali nchini Morocco iliweza kulisambaratisha kundi la kigaidi ambalo wanachama wake walikuwa wakitaka kutekeleza operesheni za kuharibisha nchini, kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Sky News, siku ya...
Tuesday, 18 July, 2023
Kiashirio cha operesheni za kigaidi kwenye nchi za Kiafrika kwa Mwezi wa Juni 2023
     Mwezi wa Juni 2023AD ulishuhudia ongezeko wazi katika kiwango cha operesheni za kigaidi zilizofanywa na makundi yenye fikra kali barani Afrika kikilinganishwa na mwezi wa Mei uliopita kwa kiwango cha 20%; Ambapo mwezi huu...
Saturday, 8 July, 2023
Siku ya Arafa ni mojawapo ya maonyesho ya umoja wa Kiislamu
Inatupasa tumshukuru Allah (S.W) kwa neema Aliyotujaalia ya kutuwekea miezi mitukufu, siku tukufu, na nyakati tukufu ambazo matendo mema huwa na thawabu kubwa kabisa. Na miongoni mwa nyakati tukufu hizo ni siku ya Arafa. Siku ya Arafa ni...
Tuesday, 27 June, 2023
First1415161719212223Last