Khusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume S.A.W kwa mtazamo ulio wastani na ulio mpotofu
meandaliwa na Dkt. Mohammed Abd El-Rahman Attia
Thursday, 28 September, 2023
Imamu Mkuu ameelekeza kwamba mwanafunzi wa Guinea Mamadou Barry atunzwe
     Mheshimiwa Imamu Mkuu, Prof. Dr. Ahmed El-Tayeb, Imamu Mkuu wa Al-Azhar, alitoa maagizo yake kwa kumtunza mwanafunzi/ Mamadou Savayo Barry,aliyetoka nchini Guinea, ambaye alikuja kutoka nchi yake, akiendesha baiskeli yake...
Wednesday, 27 September, 2023
Al-Azhar yalaani vikali jinai za kukata Msahafu nchini Uholanzi na yaziita nchi za kimagharibi zibainishe msimamo wake wa kweli kuhusu suala la uadui dhidi ya Uislamu
     Al-Azhar inaeleza kulaani kwake jinai za kukata nakala ya Msahafu tukufu mbele ya balozi kadhaa mjini Lahai nchini Uholanzi, katika mfululizo wa jinai zinazotekelezwa dhidi ya Uislamu na vitakatifu vyake, ikisisitiza kwamba...
Tuesday, 26 September, 2023
Al-Azhar yafichua Mbinu za Makundi ya kigaidi za Kudanganya na Kuwashawishi Vijana
Imeandaliwa na; Dkt. Alaa Salah Abdulwahed
Monday, 25 September, 2023
Mtume (S.A.W.) ndiye ruwaza njema wetu na Rehema wa Mwenyezi Mungu kwa walimwengu wote
Imeandaliwa na; Dkt. Ahmed Khalaf Abulfadl
Sunday, 24 September, 2023
First910111214161718Last