Kwa kujibu madai ya ISIS katika makala yao "Hao ni maadui; Jitahadhari nao"
Ndani ya mfumo wa kazi ya Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na fikra potofu wa kufuata mawazo ya makundi yenye fikra kali, na makala na habari wanazozitoa; Kituo kilifuatilia makala iliyochapishwa na gazeti la ISIS la Al-Naba, katika...
Saturday, 28 December, 2024