Je, Umefuzu katika Ramadhani?!
Imeandaliwa na Dkt.; Alaa Salah Abdulwahed
Sunday, 7 April, 2024
Dondoo za Hotuba ya Imamu Mkuu katika shereh ya Usiku wa Al-Qadr
Mheshimiwa Imamu Mkuu Profesa; Ahmed Al-Tayeb Sheikh Mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif alishiriki katika mahafali ya Wizara ya Waqfu kwa mnasaba wa Usiku wa Al-Qadr akiambatana na Mheshimiwa Raisi/ Abdul-Fattah Al-Sisi na viongozi wa nchi pamoja na...
Saturday, 6 April, 2024
Ramadhani nchini Kongo ya Kidemokrasia
  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo: Nchi iliyoko Afrika ya Kati, inapakana na Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini kwa upande wa kaskazini, upande wa mashariki: Uganda, Rwanda, Burundi, na Tanzania, upande wa kusini: Zambia na...
Thursday, 4 April, 2024
Taarifa ya Al-Azhar kuhusu mkutano wa Imamu Mkuu Sheikh wa Al-Azhar na Papa Tawadros II
  Imamu Mkuu Sheikh wa Al-Azhar: Ninasikia huzuni kwa kukaribia Eid Al-Fitr, wakati ndugu zetu wa Gaza wanateseka na uadui wa kizayuni wa kikatili. Mheshimiwa Imamu Mkuu profesa/ Ahmad AlTayyeb Sheikhi wa Al-Azhar, amempokea leo...
Tuesday, 2 April, 2024
Ramadhani Nchini Mali
  Jamhuri ya Mali iko Afrika Magharibi na inapakana na Algeria kwa upande wa kaskazini, Niger kwa upande wa mashariki, Burkina Faso na Ivory Coast kwa upande wa kusini, Guinea kwa upande wa magharibi na kusini, na Senegal na Mauritania...
Tuesday, 2 April, 2024
First45679111213Last