Kwa mujibu wa maelekezo ya Sheikh_wa_Al Azhar.. msafara wa tatu wa misaada wapita bandari kavu ya Rafah ili kuwaunga mkono ndugu zetu wenyeji wa Gaza
     Msafara wa tatu wa misaada unaotoka Baiti ya Zaka na Sadaka ya kimisri ulipita leo jumanne bandari kavu ya Rafah ili kuingia ukanda wa Gaza kwa ajili ya kuwaunga mkono na kuwasaidia familia na ndugu zetu huko Gaza, ukiundwa na...
Tuesday, 28 November, 2023
Nafasi ya Mwanamke katika Kujenga Jamii
Imeandaliwa na Dkt.; Alaa Salah Abdulwahed
Thursday, 23 November, 2023
Al-Azhar yaamkia juhudi za Misri na Qatari zilizopelekea kusitisha mapigano huko Gaza
     Al-Azhar inatoa wito kwa waadilifu wa Waislamu, Wakristo na Mayahudi ili kuendelea kuwasukuma Viongozi na watawala ili kukomesha uadui wa kizayuni dhidi ya Ghaza. Pia, Al-Azhar Al-Shareif inathamini juhudi za Misri na...
Wednesday, 22 November, 2023
Kuondoa Silaha.. Njia ya kufikia Amani na Usalama Duniani kote
Imandaliwa na Dkt., Ahmed Khalaf Abulfadl
Wednesday, 22 November, 2023
Al-Azhar Al-Shareif yalaani mauaji ya shule mbili za Al-Fakhura na Tal Al-Zaatar
    Ulimwengu unaonyamaza kimya na umma wa kiarabu na wa kiislamu hazikutoa chochote cha kuwaondoa laumu mbele ya Mwenyezi Mungu kuhusu haki za Wapalestina. Al-Azhar Al-Shareif kwa Wapalestina: msikate tamaa kwani kisasi chenu kiko...
Sunday, 19 November, 2023
123578910Last